Ipe Maneno Hii Picha hapo

Two weeks ago nilikaa masai club kwa nje pale meridian. ...pembeni alikaa mkaka hivi mpaka nigeuke ndio namuona vizuri. Nilikua bwax na bendi live walikua na weledi fulani kila wakati najikuta naenda kutunza......sasa bana kuna mida niligeuka kumcheki jamaa ....alinipa pozi hilo...na kasauti kembamba ka kianti eti mambo. ...hahahha nikajuta kwanini niligeuka...huu mchezo umekua halali kabisaaa
 
Kwa mtu yeyote asiyemjua Master plan basi huyo jamaa anayenyolewa kafanana sana na mimi. Sema mimi huwa nanyoa dongo halafu naacha timberland la hatari.
 
Last edited by a moderator:
Anaipenda kazi yake.

Hataki kiti(cha kuzunguka) kitingishike hata kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…