S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,068 Feb 23, 2016 #2 Nyie vipi?? Nimekwisha waambia sipendi ugomviπ
GIUSEPPE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 5,239 Reaction score 6,242 Feb 23, 2016 #3 wakati mwingine pia mla huliwa.
Y ydn JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 2,092 Reaction score 1,411 Feb 24, 2016 #4 Mmezoea mshenzi wewe! Na tunakusubiri hapa mpaka ushuke!
akenajo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 1,634 Reaction score 613 Feb 24, 2016 #5 akaaa khaaa
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 24, 2016 #6 mtachinga sana wiki hii yote lakini mnastahili sifa ila sio kuabudiwa
kani mkali Senior Member Joined Dec 18, 2013 Posts 121 Reaction score 64 Feb 24, 2016 #7 Hapo haja Kubwa na Ndogo kwa pamoja...LAZMA
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,833 Feb 24, 2016 #8 Uzee ni shida hata kwa simba!!!!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Feb 24, 2016 #9 Aliyataka mwenyewe....
real G JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 5,227 Reaction score 5,303 Feb 24, 2016 #10 huyu ndio wanamuita eti mfalme hahaaaa, mfalme kajikojolea mbele ya wananchi kwa woga
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,734 Reaction score 128,240 Feb 24, 2016 #11 salaniatz said: Click to expand... Hakuna Simba Anayeweza Kuwa Mwoga Hivyo. Nina Wasiwasi Na Hiyo Picha! Simba Huyu Huyu Tunayemjua Eti Leo Awaogope Hao WANYAMA MAPOPOMA Hapo? Siamini!
salaniatz said: Click to expand... Hakuna Simba Anayeweza Kuwa Mwoga Hivyo. Nina Wasiwasi Na Hiyo Picha! Simba Huyu Huyu Tunayemjua Eti Leo Awaogope Hao WANYAMA MAPOPOMA Hapo? Siamini!
GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,281 Reaction score 2,940 Feb 24, 2016 #12 Nendeni Mkaihubiri injili
C Camp Gilgal JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,453 Reaction score 4,595 Feb 24, 2016 #15 Nguvu ya Umma inapoamua.
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,568 Reaction score 10,624 Feb 24, 2016 #16 Zamu yako
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,120 Feb 24, 2016 #17 Mwenye ubavu anifuate, hamunipati !!!
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,967 Feb 24, 2016 #18 Muosha huoshwa!
real G JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 5,227 Reaction score 5,303 Feb 24, 2016 #19 halafu tena ni simba DUME!!
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,635 Reaction score 89,400 Feb 24, 2016 #20 simba:jamani msaada jamani msaada mixer yowee uuuuuwiiiiiii...!! nyati:tulia ww leo ndo utajua akuna mkate mgumu mbele ya chai...πππ
simba:jamani msaada jamani msaada mixer yowee uuuuuwiiiiiii...!! nyati:tulia ww leo ndo utajua akuna mkate mgumu mbele ya chai...πππ