Ipad msaada

iPad inatengenezwa na Apple peke yake hakuna iPad ya kampuni nyingine, kama unaongelea tablet computer kwa ujumla ndo kuna za Samsung, Acer,BB, Amazon, Google etc bei ya iPad unaweza kuziona New iPad - Buy the New iPad in White or Black - Apple Store (U.S.) hiyo ni iPad 3.

Tablet kwa ujumla bei zinatofautiana, mimi ningekushauri kuitafuta Nexus 7 ya Google kama unaweza kuipata, best value for money, otherwise angalia moja ya Galaxy Tab za Samsung.
 
Back
Top Bottom