Livanga JF-Expert Member Apr 15, 2010 469 148 Nov 20, 2012 #1 Nauza ipad yangu ni ya ipad one ya 32gb na wifi kwa kiasi cha shilingi laki 4 tu.
isambe JF-Expert Member Feb 14, 2008 2,195 1,401 Nov 20, 2012 #2 Wenzako wanazitangaza za 5,weye yakhe bado uko kwenye moja,hiyo mpelekee babu kijijini aifanye kama albam.Au mpe shamba boi wako naye ajidai mtaani.
Wenzako wanazitangaza za 5,weye yakhe bado uko kwenye moja,hiyo mpelekee babu kijijini aifanye kama albam.Au mpe shamba boi wako naye ajidai mtaani.
adakiss23 JF-Expert Member Jan 23, 2011 4,477 4,270 Nov 20, 2012 #3 Nikupe 200 kufanye biashara Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
M mfocbsjut JF-Expert Member Oct 19, 2011 473 246 Nov 20, 2012 #4 Livanga said: Nauza ipad yangu ni ya ipad one ya 32gb na wifi kwa kiasi cha shilingi laki 4 tu. View attachment 71604 Click to expand... Kuna 250 hapa, kama inalipa tufanye biashara
Livanga said: Nauza ipad yangu ni ya ipad one ya 32gb na wifi kwa kiasi cha shilingi laki 4 tu. View attachment 71604 Click to expand... Kuna 250 hapa, kama inalipa tufanye biashara
Livanga JF-Expert Member Apr 15, 2010 469 148 Nov 20, 2012 Thread starter #5 kama kweli uko serious fanya 300 nikupe mfocbsjut said: Kuna 250 hapa, kama inalipa tufanye biashara Click to expand...
kama kweli uko serious fanya 300 nikupe mfocbsjut said: Kuna 250 hapa, kama inalipa tufanye biashara Click to expand...
Livanga JF-Expert Member Apr 15, 2010 469 148 Nov 20, 2012 Thread starter #6 mfa maji haachi kutapatapa wewe unayo? isambe said: Wenzako wanazitangaza za 5,weye yakhe bado uko kwenye moja,hiyo mpelekee babu kijijini aifanye kama albam.Au mpe shamba boi wako naye ajidai mtaani. Click to expand...
mfa maji haachi kutapatapa wewe unayo? isambe said: Wenzako wanazitangaza za 5,weye yakhe bado uko kwenye moja,hiyo mpelekee babu kijijini aifanye kama albam.Au mpe shamba boi wako naye ajidai mtaani. Click to expand...
isambe JF-Expert Member Feb 14, 2008 2,195 1,401 Nov 21, 2012 #7 Ukweli unauma eeh!jifunzeni charities.mnadhani wazungu wangekuwa na roho mbaya kama za kwako mitumba mngeiona wapi?si mngetembea uchi!!!.
Ukweli unauma eeh!jifunzeni charities.mnadhani wazungu wangekuwa na roho mbaya kama za kwako mitumba mngeiona wapi?si mngetembea uchi!!!.
B Bingley Senior Member Apr 25, 2011 103 9 Nov 21, 2012 #8 isambe said: Ukweli unauma eeh!jifunzeni charities.mnadhani wazungu wangekuwa na roho mbaya kama za kwako mitumba mngeiona wapi?si mngetembea uchi!!!. Click to expand... ila mimi nadhani wazungu hawana sehemu ya kuzitupia hizo nguo ndio maana wameigeuza africa kuwa an indirect-dampo la vitu walivyovichoka au wanavyoviona havina quality ya kiwango kinachostaili (my idea)
isambe said: Ukweli unauma eeh!jifunzeni charities.mnadhani wazungu wangekuwa na roho mbaya kama za kwako mitumba mngeiona wapi?si mngetembea uchi!!!. Click to expand... ila mimi nadhani wazungu hawana sehemu ya kuzitupia hizo nguo ndio maana wameigeuza africa kuwa an indirect-dampo la vitu walivyovichoka au wanavyoviona havina quality ya kiwango kinachostaili (my idea)
isambe JF-Expert Member Feb 14, 2008 2,195 1,401 Nov 21, 2012 #9 Si wanaweza ku recycle huko kwao!,kama issue ni dampo?