cobra poison
Member
- Sep 14, 2016
- 32
- 12
Kama kuna mtu anajua namna ya kutoa icloud acc aje tuchonge coz sikumbuki chochote.
Vipi iPad Air cellular inayotumia SIM Card unaweza ifungua?Ukizingua malipo naifunga parmanently . Malipo yanafanyika lisaa limoja baada ya kukujulisha kuwa tayari ipo unlocked. Na wewe kujiridhisha kuwa tayari ipo off. So usiombe kutolewa lock ukiwa pesa huna mkononi
Hapana kiongozi naendelea na tafiti .nimefanikiwa za wifi only kwa sasa. Macbook laptop imac hizo zote hamna shida natoa
pesa ipo ila haiwezi kuja kuzingua tena na serial no ntazipataje? na huo mpunga haupungui?Kama ni ya wifi only. Yaani haitumii laini naweza kuitoa nahitaji masaa48 tu gharama ni tsh100000 nahitani Serial number tu huna ulazima wa kuja ofisini .unalipa baada ya kufunguka .check 0715387545
Nicheck kwa namba zangu piga ama.whatsapppesa ipo ila haiwezi kuja kuzingua tena na serial no ntazipataje? na huo mpunga haupungui?