iPad 4 ON SALE - ONLY FOR Tshs. 850, 000/=

iPad 4 ON SALE - ONLY FOR Tshs. 850, 000/=

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Kwa wale wapenzi wa apple products, nawaletea kwenu iPad 4 kwa bei ya Tshs. 850, 000/= tu.

Features zake ni kama ifuatavyo:

● Internal memory - 16 GB

● Inatumia simcard (3G & 4G) pia na WI-FI

● Software yake ni iOS 7

● Pia unapata na cover lake FREE likiwa na keypads zake ( connection ya keypads na iPad ni ya bluetooth).
 
Umehamia huku kamanda? Mbna ulikuwa unaitafuta hiyo cm majuzi tu imekushinda nn??
 
Umehamia huku kamanda? Mbna ulikuwa unaitafuta hiyo cm majuzi tu imekushinda nn??

Mkuu,

Hiyo sio simu ni iPad. Simu ilikuwa iPhone 5 na bado ninayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom