iPad 1

iPad 1

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
mwenye laki 3 na simu ya laki moja namuachia iPad 1. Haijatumika sana. Kwa alie tayali ani PM
 
Mkuu mie nina 350,000 ila sina simu kama vipi na ku PM
 
iPad from apple ni original, na cjaitumia zaidi ya miezi 6, pili natafuta simu ya nokia yenye thamani ya laki moja. Ila kama una laki 4 nakuachia tu iPad. Ila kama una laki 3 uje hata na ki nokia uchwara.
 
Update: haya haya mwenye 370,000 bila simu namuachia mtambo
 
Haya haya wajameni mwenye 350000, bei chee iPad one. PM zenu nazisubiri
 
ipad 1 , specifications zake ziko wapi? inch ngapi ? hard drive ngapi ? os version gani? built in 3G ? picha ? accesories zipi ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom