Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,408
- 163
My IP address: 41.204.128.101
My IP Address Location: Zanzibar inTanzania, United Republic of
ISP of my IP: ISP - Local Registry
Huo ndio mtindo wa Tanzania wa kufanikiwa kufanya watu wake wasiwe na uelewa na mambo haya
Mkuu,We mzushi ulikuwa wapi siku ngapi hizi --- ndugu angalia bei si wanasema rahisi ? Urahisi huo ni kwa sababu wanashare bandwidth kati ya wateja unakuta mfano wateja 200 wana ip address moja na wanashare wengine mia hiyo hivyo , hata hivyo linapotokea suala la uhalifu kwa mfano nikienda zantel pale wanaweza kunilocate wewe ulipo na kifaa chako ( hii ni etisalat dunia nzima ) , mimi natumia broadband sifanyi sharing na mtu yeyote am dedicated
Huu mfumo wakushare IP Adress kwa hapa Bongo ni kwa mitandao karibu yote wanafanya aka kamchezomna hii inatokana na sisi wa tumiaji wa huduma hizi kutojua haki yetu,hivyo wao wanatupeleka wanavyo taka wenyewe..hili tatizo huwa nakutana nalo sana ila sikuwa najua jinsi ya kusolve hili atizo