IP address | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IP address

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by PingPong, Mar 11, 2011.

 1. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wakuu, samahani waheshimiwa kama hili nalotaka kuuliza lilishajadiliwa hapa. Naomba mnisaidie kama kuna madhara yoyote ya kuficha ip address, na kama hakuna ni software au njia gani nzuri inayofaa ili zoezi la kuificha liweze kufanikiwa, shukran.
   
 2. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,060
  Likes Received: 1,099
  Trophy Points: 280
  A. Ku-Set Up Proxy Fuata Haya Maelezo

  kwanza kabisa ondoa cookies na cache zote halafu nenda hii tovuti kuona ip yako IP Address Geolocation to Identify Website Visitor's Geographical Location

  Kama unatumia Firefox 6


  1. Nenda "tools" halafu bonyeza options
  2. kiboksi kikitokea gonga "Advanced" (juu upande wa kulia)
  3. Chini kidogo utaona tabs nne (General, Network, Update na Ecryption) wewe gonnga Network.
  4. Upande wa kulia utaona setting button, bonyeza
  5. Connection settings itatokea. Natumaini "No proxy" radio button itakuwa selected. Sasa wewe bonyeza "Manual proxy configuration" Hivyo viboksi vita kuwa activated.
  6. Sasa weka 174.142.104.57 kwenye kiboksi cha kwanza kushoto na "3128" kulia kwake.


  Click OK hicho kiboksi na kile cha kwanza halafu ondoa cookies na caches, halafu jaribu kutembelea IP Address Geolocation to Identify Website Visitor's Geographical Location kuona kama ip yako imebadilika.Kama imebadilika nenda kutembelea hizo tovuti zako

  Kama unatumia Internet Explore


  1. Nenda tools halafu chagua "Internet Options"
  2. Katika tabs za juu bonyeza"connections"
  3. pale chini upande wa kulia kuana kiboksi cha "LAN Settings". Bonyeza kile.
  4. Kiboksi kikitokea chagua "use a proxy server for ypour LAN..."
  5. Weka 174.142.104.57 upande wa kushoto na 3128 upande wa kulia. Bonyeza OK viboksi vyote viwili.
  6. Jaribu kutembelea hizo tovuti

  Click OK hicho kiboksi na kile cha kwanza halafu ondoa cookies na caches, halafu jaribu kutembelea IP Address Geolocation to Identify Website Visitor's Geographical Location kuona kama ip yako imebadilika.Kama imebadilika nenda kutembelea hizo tovuti zako

  Nimeitest hii proxy inafanya kazi lakini kama itakifa baadae jaribu hizi kapa.

  174.133.219.50:80
  174.133.219.53:80
  174.133.219.57:80
  174.142.104.57:3128
  174.142.169.242:808
  174.142.24.201:3128
  175.123.72.96:18080
  175.41.145.8:80


  kama hii itasumbua unaweza kudownload HIDE MY IP ambayo ina 14 day evaluation period.
   
 3. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
 4. L

  Leney JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naomba sababu zako za kwa nini unataka kujificha behind a proxy?

  Madhara in general hakuna my dear, but wewe waweza kupata disadvantage; kwa mfano kuna nchi zimerestrict applications zao kwa territories flan flan...may be for business, political interests, sasa wewe unaweza kujikuta unamiss out on what you would be getting/ or unaget more than you should be getting. Eg si matangazo yote yanafika kote, yamekuwa categorized, links and channels to entertainment n.k

  Halafu inabidi ujue kuwa these proxies are a nightmare in the field of IP geolocation, maana na cloud computing inavoongeza kasi, pipo need to verify that their cloud hosts are exactly where they say they are.... sasa how can you audit and verify people if they are all hiding behind proxies???
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Kwanza Proxy unless unatumia professional service unayoilipia mara nyingi zinakuwa slow.

  Na la hatari zaidi haujui huyo mwenye proxy anafanya nini data zako, anaweza akawa anarekodi kila kitu na ikija siku ya kufuatiliwa akawapa data zote so haujapata protection yoyote. Au mbaya zaidi akazitumia yeye mwenyewe kukuletea balaa.

  Jaribu kutumia Tor kama unataka kuficha IP yako inatumia njia nzuri zaidi ya kukuficha ambayo ni vigumu kuwa traced. (Download Vidalia Bundle)
  https://www.torproject.org/index.html.en
   
 6. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu nimejaribu hii kitu lakini sijapata mafanikio bado jinsi ya kuitumia...Sijui kuna step by step ambavyo inaweza kusaidia zaidi??
   
 7. i

  iMind JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Muuliza swali mimi sijakuelewa ni nini hasa unataka ku-achieve! yaan tatizo lako hasa ni lipi! bahati mbaya hata waliojibu hawajatoa maelezo ya ya kinagaubaga. Nijuavyo mimi, kama unatumia Modem, au uko ndani ya LAN, IP address yako inakuwa haonekani, kwa sababu unakua nyuma ya Firewall. Global IP address ndo zinaonekana. Firewall inafanya kitu kinaitwa NATing. After all bila kua na address utafanyaje mawasiliano? Ethernet packet inakuwa na address mbili, mahali inapotoka na mahali inapokwenda. so lazima ip iwepo ndo kuwe na mawasiliano.

  Proxy matumizi yake ni ku-cache information. Yaani mfano uko kwenye organization LAN ina watu 100 na kila siku wanatembelea tovuti fulani fulani mara kwa mara. Sasa system administrator anachoweza kufanya ni kuweka proxy server ili ihifadhi zile website localy, mtu wa kwanza akirequest ile tovuti inavutwa kutoka huko iliko inahifadhiwa pale kwenye proxy server. Subsequent users waki request ile tovuti wanaipata pale pale badala ya kwenda nje kuifuta. hii ina speed up na kusave bandwidth. kama information zikibadilika una fetch only the difference. Huna sababu ya kutumia proxy ya mtu ambaye hata haujui yuko wapi. sana sana itakuharibia tu.
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni caching proxy, sisi tunaongelea anonymizer proxy ili kupata privacy zaidi.
  Proxy server,Accessing_services_anonymously - Wikipedia
   
 9. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Nidhamu ya woga, kwa nini unataka kuficha IP yako. Wacha wakujue kwani watakufanya nini? You only live once! Kama wewe unasema ukweli huwezi kuogopa vivuli vinavyokufuata.
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wakuu hakuna kitu 100% private kwenye maswala ya kuperuzi kwenye mitandao, hizo IP mnazotaka kuzichakachuwa ni danganya toto tu, hata hizo browser ambazo zina option za private bado si private kiivyo. Japokuwa si illegal in hiding your IP address, for the proper reasons bado kwenye baadhi ya mitandao kama IP address yako haionekani huwezi kupata uduma.

  Basi kama unasisitiza kutaka kuficha IP address yako unatakiwa kununua program ambazo zitakusaidia kuficha hiyo IP yako... Lakini kumbuka kwamba nothing 100% secure or private katika ulimwengu wa tovuti.

  Gonga HAPA kununua au Gonga HAPA kupata maelekezo.
   
 11. m

  mwakyoma2011 Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 12. T

  Taso JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Hiyo Firefox 6 imetoka lini mjomba?
   
Loading...