kichwanazi
Member
- Apr 11, 2013
- 89
- 9
msaada
hUJASOMEKA!!msaada
hUJASOMEKA!!
we kwel kchwa naz
yaani nilikuwa nahitaji free site kama vile 0.facebook.com ambazo tulikuwa tukitumia hapo mwanzo........nafkiri kwa sasa umenielewa mkuu
ulikuwa unatumia hapo mwanzo??? wewe tokea ujiunge na Jf hata mwezi haujafika , mwanzo ipi hiyo???
unaonekana una account nyingi hapa JF
multiple usernames are not allowed here.
abide to rules
yaani nilikuwa nahitaji free site kama vile 0.facebook.com ambazo tulikuwa tukitumia hapo mwanzo........nafkiri kwa sasa umenielewa mkuu
siku hizi hazifanyi kazi we nunua tu bundle, mbona bei ndogo sana.
ulikuwa unatumia hapo mwanzo??? wewe tokea ujiunge na Jf hata mwezi haujafika , mwanzo ipi hiyo???
unaonekana una account nyingi hapa JF
multiple usernames are not allowed here.
abide to rules
ndio nilikuwa nina account hapo mwanzo lakini nilisahau password
sio kwamba mimi mgeni wakuu...!!!
ukisahau password kuna option ya kurecover password, unaweza muandikia invisible kurest password yako via email kwa nini hukufanya hivyo?
Tumia homEPAGE 46.137.164.139 AU M.TWITTER.COM ..................I THINK ITS HELPFULL
Tumia homEPAGE 46.137.164.139 AU M.TWITTER.COM ..................I THINK ITS HELPFULL
hawa si ndio wale waliotukatia utamu kipindi kile...sasa katumwa tena