v9.3.2 haijatoka juzi ina muda tu na hakuna shida yoyote kwenye WhatsApp kwa upande wangu.
Habarini zenu,
Baada ya ku-update ios kutoka 9.3.1 kwenda v9.3.2 ambayo imekuwa rolled out juzi,na ku-update WhatsApp kwenda v2.16.5 imekuwa ikistack na kushindwa kuendelea.
Nimejaribu kutafuta forums kadhaa,inaonekana ni global issue na suluhisho maalumu bado halijakuwepo na WhatsApp wako kimya,hawajasema kama ni serious bug au shida nini.
Je na kwako halo iko hivo?
Umepata utatuzi?
v9.3.2 haijatoka juzi ina muda tu na hakuna shida yoyote kwenye WhatsApp kwa upande wangu.
Okay nashukuru kwa taarifa,basi nafikiri mm nilichelewa kuiona hiyo update.
Una uhakika kwenye WhatsApp yako ni hiyo latest version niliyotaja?
Itakuwa vizuri na usisahau kuja na mrejesho
May be.We ndo wa kwanza nimesikia hujapata tatizo maana nmeshaongea na watu wengi nnaowajua wanatumia iphone wanasema shida iko,basi u might be that one luck nigga!