andycachy Member Joined Mar 31, 2010 Posts 83 Reaction score 18 Mar 7, 2012 #1 nimejaribu ku update iphone to hiyo iOS 5.0.1 ime download for hours then ikaniambiia imefail then kuna applications zimegoma kufanya kazi baada ya mimi kujaribu hivyo , facebook, skysports hazifanyi kazi kabisa msaada please wanajamii
nimejaribu ku update iphone to hiyo iOS 5.0.1 ime download for hours then ikaniambiia imefail then kuna applications zimegoma kufanya kazi baada ya mimi kujaribu hivyo , facebook, skysports hazifanyi kazi kabisa msaada please wanajamii
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 409 Mar 7, 2012 #2 Cha kukushauri kwa nini usidelete then ukazistore upya through itune store but make sure una account.Uzuri siku hizi unaweza ukafungua kwa free account kama huna fungua
Cha kukushauri kwa nini usidelete then ukazistore upya through itune store but make sure una account.Uzuri siku hizi unaweza ukafungua kwa free account kama huna fungua