Inye ndembwe ndembwe....hii zaidi ya mchina!

Ma ma ma ma ma ma ma ma ma ma ma ma ma mamaaaaaaaaaaa hilo bucha mtu kweli dunia ina mambo.
 
Halllooooo...hii kitu nadhani inamfanya hasifuarhi maraha ya dunia hii. Hawezi hata kutoka ndani.
 
Sanga Nzambe apesi Kibolamo!!!
 
majanga ++++++++++++++++++++++++++++++++++
 
Huu ni ugonjwa mbaya wa kuvimba nyama za mwili na umekuwa ukimsumbua muda mrefu.
Mungu acha aitwe Mungu
 
yap, huu ni ugonjwa.. not funny . msicheke jaman
 
Santa maria......halafu huyo ndugu yake pembeni nayeye asipokwa makini yatamkuta ya mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…