Invitation to tender

Cathode Rays

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,738
1,492
Ndugu habari za shughuli,

Kwenye taasisi ninayofanya kazi tuna mpango wa kufanya ujenzi wa majengo kadha wa kadha ikiwamo majengo ya utawala kwa fedha yenye thamani kama ya 160M na nilipenda kama mngenisaidia kupata document simple to kwa ajili ya tendering.

Naamini kupata msaada wenu kwa haraka kadri mtakavyoweza. Ahsanteni
 
Mwenye kutoa tender ndiye anatoa mwongozo kuhusu namna ya kuwasilisha tender bid. Kama ni taasisi ya uma kuna Publuc Procurement Act na regulations zinzosimamiwa na Public Procurement Regulatory Authority (PPRA).
 
Check na website ya PPRA kuna mifano ya tender documents za kila aina ukishindwa check me kwa mail mgumu19@gmail.com ninaweza hata hiyo kazi nikaifanya maana kama kampuni ya uhakika ipo
 
Ndugu habari za shughuli,

Kwenye taasisi ninayofanya kazi tuna mpango wa kufanya ujenzi wa majengo kadha wa kadha ikiwamo majengo ya utawala kwa fedha yenye thamani kama ya 160M na nilipenda kama mngenisaidia kupata document simple to kwa ajili ya tendering.

Naamini kupata msaada wenu kwa haraka kadri mtakavyoweza. Ahsanteni
Nipe hiyo kazi kampuni ya ujenzi ipo! Documents check na website ya PPRA au check me kwa mail mgumu19@gmail.com
 
Ndugu habari za shughuli,

Kwenye taasisi ninayofanya kazi tuna mpango wa kufanya ujenzi wa majengo kadha wa kadha ikiwamo majengo ya utawala kwa fedha yenye thamani kama ya 160M na nilipenda kama mngenisaidia kupata document simple to kwa ajili ya tendering.

Naamini kupata msaada wenu kwa haraka kadri mtakavyoweza. Ahsanteni
Madesa kila sehemu
 
Madesa kila sehemu

Kwa nini udhani ni madesa? Kutaka ushauri wa profession za wengine is what you call Madesa? or nimekosea kukuelew?

BTW: Ahsanteni wadau hapo juu kwa ushauri wenu na nilipata msaada wa kutosha kutoka kwa Eng. Mtolera and i'm working out on it

Thanks again to you all
 
Ili kazi ya BOQ iwe nzuri,nakushauri upate msaada wa kitaalamu kutoka kwa engineering consultants. Watakusaidia katika structure and services design. Kuna consulting engineers naowafahamu, if you need their assistance, just pm me. Ukiingia kichwa kichwa utaingizwa mjini. Kuna watu wanafanya kila kitu mpaka kufufua watu.
And again, contractor sio consultant, so be careful as well!
 
Mkuu Ndahani nimepokea angalizo na ushauri wako ni wa msingi sana na kwa sasa nimewashauri na wanaanza mchakato wa kutafuta consulatant na nilipata msaada mkubwa sana kwa Mkuu Eng. Mtolera

Ahsante tena wote kwa ujumla
 
Back
Top Bottom