Inveter inayojiendesha yenyewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inveter inayojiendesha yenyewe!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KIBURUDISHO, May 5, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  WanaJF mambo vp? Jamani umeme unatusumbua sana hadi unapelekea nawaza jambo fulani sijui inawezekana? Hivi hakuna utaalamu unaoweza kutumika ukawa na inveter inayozalisha umeme wa AC220v umeme huo ugawanyike mara 2. Moja utumike kuwasha tv radio nk, mbili urudi kuchaji zile betri zinazoendesha hiyo inveter kwa ufupi iwe kama umeme wa kwenye gari unavyopatikana.Yaani kadiri unavyo washa tv au redio ndivyo betri zinayvo chajiwa.Hebu wanajf tuliangalie hili haliwezekani? Na kama haiwezekani ninini kitakachokuwa kinakwamisha???
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Mkuu umenikumbusha zamanii nikiwa shule tulikuwa tunawaza hivyo.ila wataalamu wa physics wanasema ili upate nguvu ya kiasi fulani ni lazima izalishwe na kiasi kilekile cha nguvu kinachotakiwa kutumika
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mmmhhh... haiwekezani!!!!
   
 4. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kuna law 1 ya physics inasema

  "energy can neither be created nor destroyed but can be transformed from one form to another"

  conclusion n kwamba unaloliwaza haliwezekani.
   
 5. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nenda China.
   
 6. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  you can not create something out of nothing. Period. Haiwezekani mkuu! pole sana
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mwambie hv! Mfumo wa gari na maelezo yake ni vi2 viwili tofauti. Wazo ambalo linahitajika ni kwamba mpinzani wa hw wajinga wa Tanesco watokee tu. Pole kaka ina hata hapa 2lipo nafikiri tunashiriki mkondo mmoja kwani tangu saa moja jioni hapa hakuna ki2. Yani we acha2!
   
 8. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  @liverpoolfc......te he te he ! vp mkuu niaje? kaka 'spidi' yako mimi siiwezi duh!
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Pisha! Wa2 2mechoshwa na Mapapa wa2 wa nchi hii! Cwezi kusema mengi ila 2takutana kwny thread. Nimehamia kwenye MALUMBANO YA HOJA ndani ya ITV.
   
 10. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Cool but wont ever work. Why? There is no such thing as free energy and that would be free energy. Ukicharge battery unaweka energy toka kwenye umeme kwenda kwenye chemicals in the cell. Unavyotumia battery tuseme kuwashia taa,unatoka chemical to light kwa hiyo tunaitumia stored energy kupata mwanga. Hata kama ukigawa umeme kidogo upite kwenye taa mwingine ucharge battery,energy itapotea kwenye taa ili upate mwanga mpaka circuit yote itaishiwa voltage na itazima. Hata gari linaweza kuchaji betri yake sababu umeshaweka mafuta(source of energy). The theory of free energy was tested(i saw t on discovery ch. once) but none of the plans worked. Google free energy to see some of the plans.Cha kufanya ni kutafuta source ya energy ambayo ni rahisi kuipata na cheap and reliable you know like the sun or something.
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Gud Guy bana,usiseme EVER-aliens wanafanya hiyo bana!
  Mkuu, huwa napenda sana unavyodadavua masuala tekniko kwa lugha rahisi yenye kueleweka!
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  unadhihaki au you are serious?
   
 13. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ooww i almost forgot them aliens. I always ponder do they really exist?if they do then it means the religion teachings are not true. I'd love to see those UFO's though.
   
Loading...