Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Wamekuwa wakituma mails kwa walioomba ajira kuwaelezea kuwa wamekuwa shortlisted. Baada ya maelezo mengi mwishoni wanasema mwombaji kazi inabidi utume tsh 9,500 kupitia namba ya Tigo tajwa ili kuchangi breakfast ukienda kufanyiwa interview. Huu ni wizi. Ina maana wao walipoandaa interview hawakujipanga? Na nani alisema ni lazima akienda akanywe chai? Huu ni utapeli kwa Watanzania hawa maskini wenye shida na kazi. Fikiri wakituma msg hizo kwa watu 5000 walioomba kazi?watakuwa na tsh ngap? Na nafasi wamejaribu kutangaza nyingi kwa mikoa mbalimbali ili kuwavutia wengi sana.
Someni kiambatanisho hapo chini.
Someni kiambatanisho hapo chini.