investor kutoka Kenya akamatwa m.city akiiba handbag

Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,559
Likes
2,882
Points
280
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,559 2,882 280
Umbea Tz
Mdada mkenya amekatwa akiiba handbang mlimani city na kushikishwa bango la kumdhalilisha yeye pamoja na nchi yake pamoja na watu wake.
 
petercornelmwakyeja

petercornelmwakyeja

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Messages
494
Likes
240
Points
60
petercornelmwakyeja

petercornelmwakyeja

JF-Expert Member
Joined May 1, 2015
494 240 60
Tuma picha ndg na ni duka gani hapo mlimani city
 
saadeque

saadeque

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Messages
1,955
Likes
903
Points
280
saadeque

saadeque

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2015
1,955 903 280
Umbea Tz
Mdada mkenya amekatwa akiiba handbang mlimani city na kushikishwa bango la kumdhalilisha yeye pamoja na nchi yake pamoja na watu wake.
My take..kenyans are liers and thieves. You should remain in your country we don't want you here..
this statement clearly indicate how empty you are upstairs...Wajua watz wangapi wakokenya wewe?Am quite sure there is no connection btwn your hands when typing with your brain
 
Rhobi1961

Rhobi1961

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2015
Messages
892
Likes
667
Points
180
Age
57
Rhobi1961

Rhobi1961

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2015
892 667 180
Umbea Tz
Mdada mkenya amekatwa akiiba handbang mlimani city na kushikishwa bango la kumdhalilisha yeye pamoja na nchi yake pamoja na watu wake.
My take..kenyans are liers and thieves. You should remain in your country we don't want you here..
Habar kama hizi mkuu ni za kuambatanisha na picha sasa hapa nani ataamini kwa hawa watu ni wapinzani wetu.
 
From Sir With Love

From Sir With Love

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2010
Messages
1,530
Likes
2,264
Points
280
From Sir With Love

From Sir With Love

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2010
1,530 2,264 280
Sijaona sababu ya kuandika jina la nchi anayotoka huyo mtuhumiwa.
You are absolutely correct. Kulikuwa hamna haja ya kuandika nchi anayotoka. Jirani ni Jirani. Huyo mwanamke alipokuwa anaiba hakuwa ana represent nchi yake.

Ni sawa sawa na mtanzania anapokamatwa kwa kubeba unga wapewe bango la Tanzania. Sio fair.
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
24,480
Likes
13,108
Points
280
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
24,480 13,108 280
this statement clearly indicate how empty you are upstairs...Wajua watz wangapi wakokenya wewe?Am quite sure there is no connection btwn your hands when typing with your brain
Hao walioko Kenya niwezi kama walioko Tanzania?
Wacha wasemwe

Mwezi uliopita pia kunamkenya
Aliingia kuiba huko Iringa
Alikuwa na funguo maalumu
Kila mlango wa lodge unafungua.

Alidakwa na police japo hatukupenda kupost humu.

Kwahio hawa wakenya wezi wanatakiwa kuwa na aibu ugenini
Mambo ya asili wayaache kwao
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,357
Likes
31,571
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,357 31,571 280
Wanaolalamika mnakumbuka speech ya Uhuru akiwa Israel? Alisemaje kuhusu wakenya??
Wekeni link hapa au nendeni google
 
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
1,554
Likes
394
Points
180
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
1,554 394 180
I love it when pea brains post to show exactly what they are missing. Watanzania wameshikwa mara ngapi Kenya na wizi? Kuna mchangiaji alianzisha thread akisema wabongo ni wezi? magaidi?
 
K

kilicho

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
1,026
Likes
710
Points
280
K

kilicho

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
1,026 710 280
this statement clearly indicate how empty you are upstairs...Wajua watz wangapi wakokenya wewe?Am quite sure there is no connection btwn your hands when typing with your brain
Sure i don't think kama kweli kashirikisha ubongo wake, kosa la mtu mmoja usitukane wakenya wote,is not fare
this statement clearly indicate how empty you are upstairs...Wajua watz wangapi wakokenya wewe?Am quite sure there is no connection btwn your hands when typing with your brain
 
Forum statistics

Threads 1,235,139
Members 474,353
Posts 29,213,101