East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Kwa maana hiyo hata ukifungua kitu kama mlimani city pale kigali, watakuja watoto wawili watatu wa kagame na mushikiwabo halafu utabaki peke yako na midoli yako....
inaonekana kila nchi ya afrika inatamani hiyo kitu kwenye dakika ya 1:15
Rwanda averaged 7% GDP growth for the last 10 yrs...so you think hiyo growth inatoka matakoni kwako?MKUU UKO SAHII KUNA MTU ALIANDIKA HIVI KULE RWANDA
Although more companies get registered in Rwanda every year, not many celebrate their second birthday.
YANAKUFA KWA KUKOSA SOKO!!!!!
WATU WANADANGANYIKA NA UHARAKA WA USAJILI WANASAHAU KUWA KULE UMASKINI NI MKUBWA SOKO LA BIDDHAA NI DOGO LA WATU WACHACHE WA VIONGOZI NA WATOTO WAO WA KIGALI.
Idadi ya makampuni yanayofungasha virago mwaka mmoja tu toka yaanzishwe RWANDA ni kubwa Rwanda KULIKO NCHI YEYOTE YA AFRIKA MASHARIKA.
Huna haja ya kuhangaika nao mkuu, hao watalii wakifika kigali sasa ndipo wataanza kuomba wapelekwe mlimani hapo watashangaa kuombwa viza na malipo mengine. Hizo mbwembwe wamezifanya sana wakenya lakini kwasasa wamezidiwa cha msingi ni kuhakikisha hatutii mguu kwenye hiyo single tourist visa yao.hatua stahiki ni rahisi tu, na sisi kutengeneza movie kama hiyo kuwaambia watu mt. kilimanjaro is not in Rwanda, you can never find it in kigali, come to tz. pia waambiwe serengeti na hao simba wapo tz sio rwanda. hapo patakuw apatamu.kama kamanda mmoja hapo juu, walichotuzidi rwanda ni wanawake tu, ila vingine hawana.
I wouldn't; for the following reasons
1. I have a fobia for dictators and genociders like PK
2. To invest in Rwanda is to excel in looting natural resources from all neighboring countries
3. Rwanda's economy is a bubble waiting to bust because it is a dictatorship and looting based economy.
4. if DRC & Tanzania can effectively control their borders and eliminate high level corruption; read my lips, Rwanda will implode.
MKUU UKO SAHII KUNA MTU ALIANDIKA HIVI KULE RWANDA
Although more companies get registered in Rwanda every year, not many celebrate their second birthday.
YANAKUFA KWA KUKOSA SOKO!!!!!
WATU WANADANGANYIKA NA UHARAKA WA USAJILI WANASAHAU KUWA KULE UMASKINI NI MKUBWA SOKO LA BIDDHAA NI DOGO LA WATU WACHACHE WA VIONGOZI NA WATOTO WAO WA KIGALI.
Idadi ya makampuni yanayofungasha virago mwaka mmoja tu toka yaanzishwe RWANDA ni kubwa Rwanda KULIKO NCHI YEYOTE YA AFRIKA MASHARIKA.
Nilipoona Mt Kilimanjaro Nikaanza kuwaza Kama Inawezekana majority ya izo picha either ni project za kwenye pipeline au zipo nje ya Rwanda.
Zikifungwa chanel za congo awana cha ziada
Hivi nyie wabongo ni kitu gani kinachowafanya mjidhalaulishe? Yani kweli mmeuona mlima kilimanjaro kwenye hii video? Lazima mtakuwa mmechanganyikiwa maana wabongo nnaowajuwa mimi hawana ailki za hivyo, kuna mwenzako mwingine yeye kasema ile Lake Kivu eti ni Indian Ocean, Lol! Kwa taarifa yako ule mlima unaitwa Muhabura, muulize jMali atakuthibitishia.
Ile video ni 100%, kitu tulichokuwa tumekosa ni Simba na zenyewe wachunga N'gombe waliziuwa kutokana na kuwalia mifugo yao ila hivi tumezungusha fence kwenye mbuga zote baada ya ndugu zetu wakenya kutupa Simba(mbegu) najua tungewaomba nyie ndugu zetu wabongo mngerusha, wakati kila siku mnazipandisha ndege kuzipeleka uarabuni(jangwani) yaani nyie bwana tokea mlipo wapokea kina jMali na kuwatega masikio basi ndio mmeharibikiwa kweli kweli.
Msije kuwaambia watalii that was Muhabura mountain. Wakikuuliza iyo picha mliipiga msim gan au mwaka gan mt muhabura ulikua na barafu yote hii sijui mtawaambiaje .. Oh let me gues the ans itakua. Intarahamwe wameharibu mazingira ya ilo eneo xo barafu imeyeyuka.
nimeamini wanyarwanda ni matakataka. hivi jamaa nakataa kuwa huo si mlima kilimanjaro, mlima muhabura kuna theluji?hahahaha. dah, kweli hawa wezi wamewaibia sana congo na kukataa kuwa wezi. hata hapa anabisha.....Hivi nyie wabongo ni kitu gani kinachowafanya mjidhalaulishe? Yani kweli mmeuona mlima kilimanjaro kwenye hii video? Lazima mtakuwa mmechanganyikiwa maana wabongo nnaowajuwa mimi hawana ailki za hivyo, kuna mwenzako mwingine yeye kasema ile Lake Kivu eti ni Indian Ocean, Lol! Kwa taarifa yako ule mlima unaitwa Muhabura, muulize jMali atakuthibitishia.
Ile video ni 100%, kitu tulichokuwa tumekosa ni Simba na zenyewe wachunga N'gombe waliziuwa kutokana na kuwalia mifugo yao ila hivi tumezungusha fence kwenye mbuga zote baada ya ndugu zetu wakenya kutupa Simba(mbegu) najua tungewaomba nyie ndugu zetu wabongo mngerusha, wakati kila siku mnazipandisha ndege kuzipeleka uarabuni(jangwani) yaani nyie bwana tokea mlipo wapokea kina jMali na kuwatega masikio basi ndio mmeharibikiwa kweli kweli.
Eti murutongore huo mlima unaonyeshwa hapo ni Ml. Kilimanjaro au Ml. Muhabura? Mmh, inafanana kwelikweli!!!
Taratibu tu tutaelewana. Hakuna haja ya kupanic bro. Namuita tu ili tukamatane vizuri maana njia ya muongo ni fupi.Acheni kuwaita! Washaona nyie ni wauza unga!!! Yani mnatia aibu kweli, hata nchi jilani mnashindwa kwenda kutalii muone hayo maajabu ya dunia, ule mlima ni Rwanda nahamuwezi kuujuwa kwa sababu Rwanda hakuna soko la unga... Paka mpewe vifurushi vya unga ndio mtoke Bongo!
Dah... Ndio maana jMali anaweza kuwanywesha sumu kirahisi rahisi, na bado...endeleeni kujianika.