Inusuru ndoa hii

Hahaha..

Stori kama hii iliyowekwa hapa Dr ya kushikana masikio tu ili mradi muda uende...

Mpe ile story ya Mwl Nyerere na Kawawa walivyoenda Ulaya halafu eti Kawawa akajamba, basi Mwl anajipepea puani ili kufukuza harufu huku akisimulia, "Maendeleo yanakuja ngazi kwa ngazi", hapa alikuwa anapishanisha mikono kwa ishara ya ngazi ngazi kumbe anajipepea.
 

Hahahah!!!

Pia ile ya Kawawa baada ya kupewa chai na wazungu akanywa lakini alivyomaliza hakukifunika kikombe.

Sasa wahudumu wakawa kila mara wanamuwekea chai kwa kuwa hafuniki kile kikombe...

Basi Mwl Kambarage ikabidi amwambie Kawawa kwa Kiswahili, "Kawawa nimekwambia funika kikombe"...

Hapo ndio Kawawa akashtukia kuwa ukifunika kikombe ni ishara kuwa umetosheka huitaji tena chai...

CC: Preta
 
Last edited by a moderator:

Afu zile story zilikuwa zinamwonyesha eti Kawawa ni mshamba, maana kuna nyingine alishindwa kubonyeza kitufe ili kitanda kitokee mpaka akaenda kumwita Mwalimu huku akilalamika eti amepewa chumba hakina kitanda.

Mwalimu ndio kuja kumwonesha jinsi ya kubofya kitanda kikatokea.

cc: Preta
 
Last edited by a moderator:

ndugu umenikumbusha ticha wangu wa hisabati alikuwa na stor balaa
 
Hadisi hii ya siku nyingi kakufundisha nani? Na hapa ndo mwisho wa kipindi cha cheichei shangazi kutoka radio Tanzania, Daslam.
ha!ha!ha!haaaa mwe jaman mbavu zangu miee!babu Asprin mekumiss shkamoo.
 
Last edited by a moderator:
c lazma uchangie.km we umeona upuuzi achia nafac wenzio


Ukiandika stori za mtaani
Ikitaka kujaza seva
Unataka tukuangalie tu?
No way; shurti uelezwe uache umaluuni

Bazazi ni Bazazi!
 

Hahaaaaaa u make my day....
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh, mkuu naona umejipinda mwenyewe kutoa maushauri. si mchezo.
 
Teh teh teh, mkuu naona umejipinda mwenyewe kutoa maushauri. si mchezo.

Yes,aombae hupewa! kasema tuinusuru hiyo ndoa kwa kutoa ushauri! and that that that's what i did...na wewe unataka ushauri nini? usione aibu sema tu mkuu! mi niko sencere..teh teh teh!
 
Utetezi ni kuwa hiyo pichu itakuwa mbichi kwa maana ya kufuliwa...
 

Weka picha
 
dah, ana nikumbusha kile kipindi cha radio Tanzania cha mama na mwana Enzi za kina Deborah Mwenda!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…