Inusuru ndoa hii

Wewe acha umaluuni
Achana na stori za kijiweni za kufikirika.
Kama huwezi anzisha mada: soma za wenzako na kuchangia
Ulichokindika ni upambafu

Bazazi
c lazma uchangie.km we umeona upuuzi achia nafac wenzio
 
Hapatikani kivipi? Analeta pozi au mtandao.

Huki kwangu usisogeeeee uparoko utakushindaaaaa na kondoo wako watapotea.

Acha kunibania bana

Muone roho mbaya tu .......lol!
 
mlikuwa mnaongea na nini tena vijiweni........?.....hebu niadisieni.......napenda story za vijiwe a.k.a maskani..........

Hahaha..

Stori kama hii iliyowekwa hapa Dr ya kushikana masikio tu ili mradi muda uende...
 
si unaelezea hali ilivokua ukieleweka sawa wasipokuelewa sawa..suluhishi litapatikana tu
 
angeingiza mkuno ikulu, ukirudi na lenta(zege) ajue mzigo umeshatafunwa.
 
kama umeowa na unawivu na mkeo epuka kupanga nyumba yenye masela wengi.
 
confidence ndiyo itakayoamua kama mtu amefanya uzinzi angetetemeka mwenyewe kwa vile hajafanya msela na mke wa jamaa watakuwa na confidence. ingawa hii ni furahisha jukwaa
 
Hakuna la kufanya ili kumsaidia huyo binti,hapo starring ni mme wake! akiamua kukurupukia conclusion basi game over! lakini kama ningekuwa mimi nimemkuta my wifê kwenye hali kama hiyo,ninge pause na kuvuta pumzi ndefu afu namuacha aanze kujieleza from A to Z! Unajua kama mnapendana kwa dhati,na kila siku anakuheshimu,anakujali,anathamini penzi lenu na ni muaminifu! there is no way utaanza kumuhukumu tu,kulalamika hadi unasimamia vidole na kupumua loudly! ha ha ha! lazima uonyeshe kuwa unamuamini mkeo na unajiamini mwenyewe(self confidence)...mpe nafasi uone anasemaje kwanza then utaelewa..vinginevyo; kwa jina la Yesu huyu pepo anaetaka kuiharibu hiyo ndoa na ashindweee!.
 

Mkwewe tena?
 
extremely difficulty qn. jf raha sana, kwanini sikuijua mapema? mweeee!

Yeah! welcome to jf amigo,keep enjoying this forum japo nikutaarifu earlier kuwa kuna wananchi wanaponda humu,daah! kule fb ukiandika upuuzi wanaweza wakakuvumilia lakini post thread yenye dosari humu uone moto! haah...🙂
 
Hivi haya mambo bado yapo!!! Tanzania ya ss sio ya kushea ndoo za kuogea!
Uchoyo umetuzidi, yaani mtu akuazime ndoo yake thubutuuuuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…