Introducing vaa.co.tz

Introducing vaa.co.tz

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
heshima kwenu wana jamvi tuna website yetu inaitwa vaa.co.tz nataka niipromote kupitia blogs za kibongo naomba mnisaidie kuniambia ni blogs zipi au website zipi ambazo huwa zinatembelewa sana na watu ili nipate kuweka tangazao langu hapo. tupo tayari kulipia pia whatever the cost ,thanx in advance

pia nichukue nafasi hii kuitambulisha hiyo website kwenu inaitwa vaa.co.tz for online clothing in tanzania (currently we are operating in dar)plus free delivery anywhere in dar Kwa mahitaji ya nguo kali za kijanja na za kisasa kwa wote wanawake, wanaume, na watoto kuanzia viatu,jeans,skirt,handbags,watches, and many more tafadhali tembelea vaa.co.tz ukiwa na swali tafadhali unaweza kuwasiliana nasi kupitia hizi namba +255773571010 ama +25571406130
au email kirondo89@gmail.com"
pia nakaribisha ushauri wenu other strategies ambazo naweza kutumia kuipromote hii website,naomba kuwasilisha,ahasanteni.

 
Hizo bei ndugu yangu ni realistic kweli? Mackbook kwa TZS 200,000? Ipod clasic 10000?
 
Hizo bei ndugu yangu ni realistic kweli? Mackbook kwa TZS 200,000? Ipod clasic 10000?

nadhani iyo ni dummy au sample content, jamaa kaharakisha kuitangaza
 
mkuu idea yako ni nzuri!kama utakua na stuffs za ukwel na bei ikiwa reasonable bac support tutakupa,na kuhusu kutangaza jaribu ktk site ambazo zinatembelewa sana na vijana so far ambazo naweza kukushauri ni fullbata.com,teentz.com,g5click,bongo5,djchoka na hata ukijaribu rahatupu utakua hujakosea sana!
 
hizo bei!hata mm zimenishangaza...
Kuna baadhi ya vitu tunakamilisha kuweka sawa mkuu ila soon kila kitu kitakuwa kwenye mstari mwanzo tuliweka price kwa dollar lakini ikaonekana kusumbua so ndio tunazichanga kuleta kwa pesa ya kitanzania
 
Mndengereko Pia unaweza ukajaribu bongoclantz, follclassic Pia kama utakua na vitu ambavyo vinaweza kununuliwa na watu wazima unaweza ukawasiliana na mimi coz ni Technical advisor wa baadhi ya blogs zinzotembelewa na watu wengi kidogo, mfano zanzi news, sufiani mafoto, nakadhalika.

Pia ushauri mwingine hakikisha website yako ipo complete ndipo uanze kuitanganaza, vinginevyo unaweza ukapoteza watemebeleaji, kumbuka first impression ina matter sana.

Mwisho nimependa signature yako
 
Last edited by a moderator:
Kama pesa ya kutosha unaweza kwenda hata katika Tv na Redio!
 
Mndengereko Pia unaweza ukajaribu bongoclantz, follclassic Pia kama utakua na vitu ambavyo vinaweza kununuliwa na watu wazima unaweza ukawasiliana na mimi coz ni Technical advisor wa baadhi ya blogs zinzotembelewa na watu wengi kidogo, mfano zanzi news, sufiani mafoto, nakadhalika.

Pia ushauri mwingine hakikisha website yako ipo complete ndipo uanze kuitanganaza, vinginevyo unaweza ukapoteza watemebeleaji, kumbuka first impression ina matter sana.


Mwisho nimependa signature yako
thanks sana mkuu kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom