




. Mkuu kama kitu huwezi kujadili usipende mijadala... Haya mambo yapo wazi kabisa.. Ukijadili kwa mapenzi utaendelea kukwepa kwepa maswali tu kama hivi... Maswala ya kms wewe ndio umeleta huku... Ukiulizwa unakwepa kujibu... Wewe endelea na uzoefu wako wa 0km wengine tuendelee na maneno ya kuambiwa..
Hakuna mahali nimesema tu ni unreliable bila kukupa sababu... Ndio mana nimekuuliza unaelewa maana ya depreciation??
Nimekupa bei za RR hapo ukilinganisha na Landcruiser za kawaida tu... Nikuuliza kwanini RR imeshuka bei kwa haraka namna hiyo ila value ya Landcruiser tena za zamani zaidi bado zipo juu??
Ila naona hujibu... Unakimbilia umiliki....
Sasa hata nikikwambia nimemiliki utajuaje kama ni kweli???
Kwamba ili ujue kitu lazima umiliki?