Dukila Mwanamke mkali kwa Mbongo basi ni Mpare, basi naweza nikaamini maana huyu Dada ni mfupi hasa na huenda Kilonzo alipitia huko Ngulu-Suji wakati Chadiel Mgonja akiwa kiwembe wakapasiana (Hii Ijumaa Kuu imeanza kivyake na Jokes)Ab-Titchaz,
Kethi Kilonzo ni wa kwetu Upareni tena kule milimani SUJI kwa Wasabato.