Kaka mi naona uko-overexcited kutokana na bei kiasi kwamba umeshindwa kuangalia mambo ya muhimu kama screensize, hako kadudu kadogo sana bana, huwez kukasogeza karibu na ipad, labda wangekawekea 3g kangekuwa kwenye kundi la galaxy note! Hata hivyo sidhani kama ndy th cheapest tablet out there; kama utetezi wako ni price!.....lakini...is it a tablet realy? i see it more of an e-reader, kama kindle, nook na vitu kama hivyo!
Hapana, Asante!
It's true Am excited with it's price.
but mkuu ukitoa Camera, Screen size na cellular network connection Ipid inaizidi kipi kingine???
Soon Kutakua na other Nexus Tablets zenye 3G na 10" let's keep waiting.
ukinunua hii unaninua kaideos unakaunlock unaweka line una tether wireless problem solved...12 core GPu hii.iPad kwisha
Umeo na eeeeee Haka ka Ideos kangu sikauzi ng'oooo
Kama home una Wi-Fi hotspot net kama kawa unapata, au unaweza tumia simu nyingine ya android kusupply Internet connection via Wi-Fi
Wakuu zangu endapo mtanipa maelezo hapo juu nini cha kufanya kuhusu hiyo ideos the hata kesho nachukua hii kitu, naombeni mnishauri zaidi na mnielekeze step by step kuhusu hiyo Ideos itafanyeje kazi na hii kitu??
tuache kusifia tu. Wa afrika tumetengenezewa tablet yetu inaenda kwa jina la INYE TABLET 4rm nigeria. Hh k2 inatumia androids pia na inahmili mazingira ya afrika kabisa. Sema mpaka leo haijapewa promo ya kutosha
[http://maxsiollun.wordpress.com/2012/03/16/nigerian-company-launches-inye-tablet-africas-ipad/]
Mbona hamna kitu kwenye hiyo link???
NingaR nashukuru sana mkuu kwa msaada wako na mawazo yako,hapo atleast umefunguka kidogo nimekuelewa mkuu wangu wala hamna tatizo kabisaa na nimefurahi,then mkuu wewe hii kitu unayo na umenunua lakini au sio??pia vile vile me sina hiyo Ideos je ni sawa nikitumia Blackberry au sio??Okay, Ideos au simu nyingine ya Android itakusaidia kusambaza internet connection kwa njua ya Wi-Fi kutoka katika hiyo simu kwenda katika vifaa venye Wi-Fi. jinsi ya kuconnect fuata mtiririko huu.
INGIA
>>SETTINGS
>>WIRELESS & NETWORK
>>TETHERING & PORTABLE HOTSPOT
>> tick kwenye PORTABLE Wi-Fi HOTSPOT
>>PORTABLE Wi-Fi HOTSPOT SETTINGS
>>CONFIGURE HOTSPOT SETTINGS (hapa utaweka jina la hiyo HOTSPOT na password ili kuzuia ambao hawana password kutumia.)
Ukimaliza kilakitu Sasa ludi katika kifaa cha upande wa pili ambacho unataka kitumie hiyo Wi-Fi HOTSPOT kutoka katika Ideos au simu ya android nyingine, Fungua
>>SETTINGS
>>WIRELESS & NETWORK
>>Wi-Fi
>>THEN SEARCH FOR Wi-Fi HOTSPOT
utaona ile ambayo uliyo iset itaonekana then isrlect kisha andika password uliyoweka, itaconect kwa muda kidogo ikileta feedback kuwa CONNECTED sasa hapo your good to GO. kama nimekuacha usisite kuuliza.
NingaR nashukuru sana mkuu kwa msaada wako na mawazo yako,hapo atleast umefunguka kidogo nimekuelewa mkuu wangu wala hamna tatizo kabisaa na nimefurahi,then mkuu wewe hii kitu unayo na umenunua lakini au sio??pia vile vile me sina hiyo Ideos je ni sawa nikitumia Blackberry au sio??
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nexus 7 itaanza kusambazwa mid July kwa $199 kama lak 330 so kibongobongo itakua juu kidogo na pia itachelewa kufika, kuhusu Kuset Wi-Fi hotspot kwenye Bbrlerry sifahamu coz sijawahi tumia Bberry, ila nahisi inawezekana just ulizia kwa wenye experience na hii kitu kwenye Bberry lazima iwezekane
Pamoja sana mkuu
Kwa mazingira ya bongo bila SIM hizo ndude ni buure,usilinganishe na wakati huo juu ya laptop kutokuwa na SIM kunatokana na mazingara ya wakati huo,enzi hizo kulikuwa hakuna mambo ya modem,lakini siku hizi pamoja na laptop kutokuwa na option ya SIM lakini ina option ya kutumia modem,sasa tablet bila kuwa na SIM utatumiaje chukulia niko njiani nasafiri au niko vijijini,nafaikiri hao jamaa wamelenga soko la Majuu ambako huenda Wi-Fi connection ipo kila mahalaWengi hamjafurahishwa na Nexsus 7 kwa sababu ya kushindwa kutumia line. lakini vitu vingine hamuangalii kabisa.
Ipad 3 16Gb Wi-Fi only inauzwa US $499 na Nexus 7 ni US $199 tofauti ya US $300 lakini bado watu mnalalamika. Ikunbukwe kua Nexus 7 imekuja kwaajili ya kuwapa watu wa kila kipato ueezo wa kumiliki Tablet. Inawezekana kua Google wata leta version yenye Cellular capability. tusubilini tujionee wenyewe.
BINAFSI NAONA KAMA Nexus 7 NI MKOMBOZI KWETU WA TU WA KIWANGO CHA CHINI, MSIHOFU SUALA LA Wi-Fi CONNECTION UNAWEZA TUMIA YOUR ANDROID SMARTPHONE KAMA Wi-Fi HOTSPOT. KWA BEI HII NA FEATURES ILIZO NAZO SIO SUALA LA KULALA MIKA KABISA. MNAWEZA KUNUNUA IPAD KWA USD $599 YENYE CELLULAR NETWORK CAPABLE.