Into the badlands season 1&2 special thread

Naisubiri ila Bado nimecheki asubuhi haijatoka
 
Kama unaeza pakua Mie hua napakua kupitia 02tvseries.com version ya mp4 Iko vyema na clearly kabisa
 
Huwa napenda kumuangalia tu mzee Wa amadilo hermet kampani ya sunny...hebu tuone hizi 15 episodes zinaishaje na nani mbabe kati ya hao mabarons na mk vs sunny ngoma yinogile haya twendee EPs 6 sasa
 
Huwa napenda kumuangalia tu mzee Wa amadilo hermet kampani ya sunny...hebu tuone hizi 15 episodes zinaishaje na nani mbabe kati ya hao mabarons na mk vs sunny ngoma yinogile haya twendee EPs 6 sasa
Sunny hataki bifu.....
 
Jamani nahitaji msaada wa kueleweshwa about episode ya 5,yule witch amesema sunny na yeye ana dark power ila imefungiwa deep down,na aloifunga ni mtu mwenye power zaid yake.pale walipokuwa wanaulizana henry power yake kaitoa wapi cause ts pass through bloodline.
Swali sasa ni power ipi km ile ya kina Mk!
 
Hii into the badland ni chiboko kwakweli!inanikosha hatari,stress zote chali.
 

Yule witch hakutoa maelezo mazuri kwa Sunny, but Epsode ipo hewani ni moto wa kuotea mbali
 
Jamani ndo ya 8 mwisho hadi mwakani au
 
Mid season break ..soon watarudi.

Series nzima ina episode 16.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…