Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Ndugu upo nyuma saaana itafute uendelezeee wenzio tupo episode ya 10 tumemaliza season 2Duh! Me niliishia pale dogo MK amemvua nguo yule dogo aliyenyongwa, akamzika. Anasepa sasa.
Naipenda hii movie,,hiv Mk ashajua kuzitumia nguvu zake?
Mke wa sunny kauawa?si alijifungua mtoto nani kamuuabadji ndo aliemfundisha ngumi widow badae akamtelekeza.MK hataki tena zile nguvu za awali maan anashindwa kujicontrol.huku widow akizitaka azirudishe.
badji katumia ile compas kujua nisehem gani aende na kujitibu.
yule mlemavu wa kwa widow yule babu anawakati mgum kwa kuwaruhusu tilda na yule dada kusepa huku awali wakiwa wamezuiliwa na moja ya walinzi.ule ni usaliti kwa widow
QUINN kafa na kufanikiwa km alivotaka kuwa sunny hawez kuwachukua familia yke yoote inabidi wagawane.tyr mke wake kafa na quinn nae kafa
Aliuawa na Barlo( Quin) kwenye final Episode ya season 2Mke wa sunny kauawa?si alijifungua mtoto nani kamuua
Xaa ngapi wanatoa??Season 3 imeshatoka, leo wanatoa epsode 2.
Weka linkSeason 3 imeshatoka, leo wanatoa epsode 2.