N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 2, 2014 #2 Penye kufunguliwa ndipo pa kutokea, kawa mkweli!
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Mar 2, 2014 #3 Duhhhhhhhhhhhh!
M mkagulu original JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 703 Reaction score 172 Mar 2, 2014 #4 sichangii!
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,682 Mar 2, 2014 #5 Jamaa wanafuga majini hawa
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,853 Mar 2, 2014 #6 Bujibuji said: Jamaa wanafuga majini hawa Click to expand... Unawachokoza.....wenyewe wanaamini hao ni viumbe hai kama viumbe vingine...
Bujibuji said: Jamaa wanafuga majini hawa Click to expand... Unawachokoza.....wenyewe wanaamini hao ni viumbe hai kama viumbe vingine...
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Mar 2, 2014 #7 Bujibuji said: Jamaa wanafuga majini hawa Click to expand... Bujibuji kwanini unaamini majini wanafugwa? Ushawahi kumuona jini? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bujibuji said: Jamaa wanafuga majini hawa Click to expand... Bujibuji kwanini unaamini majini wanafugwa? Ushawahi kumuona jini?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,682 Mar 4, 2014 #8 utafiti said: Bujibuji kwanini unaamini majini wanafugwa? Ushawahi kumuona jini? Click to expand... njoo mtaani kwetu ujionee, jamaa ana supa maketi ya majini, hata ukitaka jini la kinyaturu unapata
utafiti said: Bujibuji kwanini unaamini majini wanafugwa? Ushawahi kumuona jini? Click to expand... njoo mtaani kwetu ujionee, jamaa ana supa maketi ya majini, hata ukitaka jini la kinyaturu unapata
I ilisha juniour JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 714 Reaction score 220 Mar 4, 2014 #9 ngoja waje,maafa utakayoleta utajuta kwanini umepost katuni hii