Interview

Interview

ldd

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
790
Reaction score
128
Jamaa kaingia kwenye panel ya interview akaambiwa please wait, jamaa akajibu 75kg.
 
Mhishimiwa mmoja R.I.P, yeye kwenye hafla moja kule Dom baada ya msosi akasema I want to speak, watu wote kimya wakifikiri ana neno la kuongea kumbe alitaka kusema I want tooth pick..!
 
Back
Top Bottom