Interview ya udereva PSRS mnazingua.

Interview ya udereva PSRS mnazingua.

IlangiKwetu

Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
85
Reaction score
33
Heshima mbele wadai, masharti ya jumla yapo wazi kwenye tangazo.
Leo kwenye usajili wanakuja na jipya kuwa wanahitaji cheti cha awali cha mafunzo ya udereva.
Wengine magari wamejifunza nyumbani jamani. Ni vema mkizingatia vile vilivyo kwenye masharti ya jumla.
 
Lakini leseni tunazo tena valid, wangesema kuwa wanahitaji tungekuja nazo. Watu tumesafiri kutoka mikoani tunaishia kutazama maghorofa tuu
Leseni ulipata kimagendo. Utapata shida sana ukienda kurenew TRA, watataka cheti Cha mafunzo ya udereva kitu ambacho Huna.
 
Yaani kwenye interview ya udereva umeenda bila cheti????
Au sijaelewa????
Kwani unavyo fanya application kwenye system uliatach nn
 
IMG_20170917_020744_660.jpg
Lakini leseni tunazo tena valid, wangesema kuwa wanahitaji tungekuja nazo. Watu tumesafiri kutoka mikoani tunaishia kutazama maghorofa tuu
Hayo mambo ya Kizamani Sana Tena Utakamatwa kwa Sasa kwa Kumiliki Leseni Bila Cheti cha Mafunzo ya Veta.Tatizo mnakurupuka Bila Kusoma Matangazo Mbona hapa Chini Panajieleza Vizuri au Ulitaka Kuja Kushangaa Maghorofa tuu!!
IMG_20170917_020744_660.jpg
 
Il hapo ndio inajionyesha kuwa utumishi hawachambui majina ya watu wanapoomba km walikuwa wanaitaji hivyo vyeti wasingetoa majina yao
Nathubutu kusema huo ni ubabaishaji
 
View attachment 589881
Hayo mambo ya Kizamani Sana Tena Utakamatwa kwa Sasa kwa Kumiliki Leseni Bila Cheti cha Mafunzo ya Veta.Tatizo mnakurupuka Bila Kusoma Matangazo Mbona hapa Chini Panajieleza Vizuri au Ulitaka Kuja Kushangaa Maghorofa tuu!!
View attachment 589881
Yani Troll JF mimi nilikua nafaham wa Tanzania ni wa zito kusoma ila ckujua ni mbaya kiasi hichi.
 
Back
Top Bottom