hlary junior
Member
- Aug 28, 2013
- 23
- 1
Jamanii habari, samahani waliofanya interview leo zimamoto tunaomba mtusaidie updates mambo yamekaaje sisi wengine kesho
ndio,mfano wa maswali.
Are you smoking? mention three type of fire extuinguisher
maswali mengine maafande wa fire watachangia
Cc, Tmajuto
Bro, kwanza naomba uniwie radhi, ila ujue kuna msemo unasema bila giza tusingeziona nyota mm sijakuwepo kwa usaili wala nini ila nilikuwa najaribu kutriger waliokuwepo waseme ya ukweli maana wabongo kwa kukosoa wanadhani wanakomoa kumbe wanajengaTmajuto sio afande wa fire naye ni mtafuta ajira tu,lakin nilalojua wale waliofanya usaili jana,leo na kesho hawawezi kuweka hapa maswali make kuna ushindani,yee akwambie ili upate yote afu akose?
Whats your name? Elaborate yourself. Huo ni utangulizi, mengine watoe wengine.
my name is kifimbo cheza.im 23 born in mkuranga completed my olevel at jiteute im tall,fit to cease a fire even at benjamin mkapa tower, please consider me for employment in your zimamoto dept.
sikauka mhapa, mh!
tell us ur weaknesses
Tmajuto sio afande wa fire naye ni mtafuta ajira tu,lakin nilalojua wale waliofanya usaili jana,leo na kesho hawawezi kuweka hapa maswali make kuna ushindani,yee akwambie ili upate yote afu akose?
unanikumbuka nini vile vitu vyangu vya class kujitia uchizi ukinifuata unapotea
usifuate maneno yangu fuata matendo tu tukikutana kule depo la uhamiaji mjomba wangu abbas
wasalimie songea