JokerSmoker
Member
- Sep 9, 2017
- 12
- 21
na kweli dai ameumiza wengi. yaani sjui kwann anafanya ivi dai heshim fans na kazi na jaman
umesahau team MOBETONaona team KIBA/WEMA/MANGE/JOKATE n.k mnapaliliia moto,LITA PITA TU
Naona team KIBA/WEMA/MANGE/JOKATE n.k mnapaliliia moto,LITA PITA TU
wewe ni team ipi??