Interview utumishi, Fundi Sanifu Ujenzi (Civil Technician)

Sasa maandalizi yanakuaje magumu kama kweli ulijiandaa vizuri semister zote 6 za masomo yako na kufaulu,,, may be kama ulifaulu lakini siyo kwa maandalizi yako hapo kuwa muwazi tukupe mfumo wa interview ya civil technician inavyokuaga...
 
1.Give out 5 factors affect road strength during construction.
2. Explain 4 ways of maintaining soil porosity during road construction

Ntakupa maswali ya interview mengine ambayo mara kwa mara hua yanatoka kama utakua muwazi kuhusu ufaulu wako wa hiyo coz...
 
Ndio, nashukur kwa ushirikiano, naomba unipe mfumo wa maswali ya civil technician yanavokuaga kwene interview
mkuu tafuta majukumu ya hiyo kazi km yalivyotolewa kwenye tangazo uyasome na kuyaelewa kisha ujue changamoto zake na jinsi ya kuzitatua
 
Back
Top Bottom