Interview UTT Microfinance

Kwa waliofika, zilizofanyika ni written or oral Interview ?? Nahisi kuna nafasi nyeti ambazo wagombea wake ni wachache wao hawanaga written, hazijaitwaaa
Iliyofanyika ni written tarehe 14 ya mwezi huu wa tatu pale UCC mlimani. Ilikuwa computerised hakuna karatasi wala kalamu mwendo ni kuclick na kuscrow tu. Jaman cjajua bdo kama wameita tena kwa ajili ya oral, waliokuwepo tujuzane kama wameshanza kuita au watakapoita. Thanx.
 
Iliyofanyika ni written bt computerized. Waliokuwepo tujuzane watakapoanza kuita kwa ajili ya oral mana hapa moja haikai mbili haikai. 4ne ikiita mawazo yote unajua mambo shwari kumbe binamu anaomba vocha. Tujuzane wadau.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…