interview:ungekua wewe ungefanya nini

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,827
Reaction score
3,100
umefika kwenye interview baada ya kukaa mende anatoka kwenye suti yako ya kuazima na kukaa kwenye bega
interview panelist wakiwa wanashanga marara gafla mende anaenda kutua kwenye meza ya meneja ungeongea neno gani
 
daladala za mjini kwa uchafu?? kumbe wale mende waliingia katika koti langu
 
Ningemuita arudi.Ningetumia lugha gani msiniulize!
 
Kwa kuonyesha kua najiamini na sijashtuka kwa kilichotokea,ningejamba na kutabasamu
 
Mimi ningewakazia macho wanaonifanyia usaili bila kuonyesha kwamba kuna kitu tofauti cha kuabisha kimetokea halafu taratibu namfuta bila kuangalia wakati namtoa, wakati nacheck kiti kilichokalia pande zote ili kuvuta hisia za wananisaili kwamba huenda yule mende nimehisi alikuwa chini ya kiti nilichokalia.:clap2:
 
ningemwambia mende stop! stop! c'me back plzziiiiii
 
umefika kwenye interview baada ya kukaa mende anatoka kwenye suti yako ya kuazima na kukaa kwenye bega
interview panelist wakiwa wanashanga marara gafla mende anaenda kutua kwenye meza ya meneja ungeongea neno gani

Haaaahaaa!! Kwani hao panelists waliona anatoka kwenye koti langu? Otherwise, nice joke.
 
ningezuga.....awa dry crener cku izi hawako serious na kazi zaoo yaan hii suti yangu walieka stoo ama....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…