JAMAN WANA JEF, MWENYE TAARIFA NI LINI WATU WATAITWA KUFANYA USAILI UHAMIAJI KWENYE VYEO VYA CONSTEBO NA KOPLO ANIJULISHE, KWA WALE WALIOTUMA MAOMBI MWEZI WA PILI.SHUKRAN!!!!!!!!!!!
Habari za kwenu wanajamvi, naomba mtu anayefahamu address ya uhamiaji/tangazo la kazi la mwisho wa mwezi uliopita anisaidie tafadhali. Shukrani kwa msaada wako
Watu walishachaguliwa kitambo ni kweli kabisa kama huna refa sahau kabisa maana watu walikua washachaguliwa kitambo kabla ya ww kuapply! Ww cha msngi ni kutafta tu pengne sahau kabsa kuhusu uhamiaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.