Interview UDOM

Mwasubi

Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
15
Reaction score
0
Jamani naomba kuuliza.

Nilikuwa nafuatilia jinsi udom wanavyoita watu kwa ajili ya interview katka college mbalimbali. Cha kushangaza mpaka leo college of Education cjaona, tafadhali wadau mwenye update anijuze.

Naomba kuwasilisha
 
Pole sana mkuu, walishafanya kitambo sana. Waliita kimya kimya kwa simu. Hata mimi kuna college nilkua nimeomba nayo waliita kimya kimya kwa simu. Education kuna mtu wangu aliitwa kufanya interview
 
Hivi kwanini wanaita kimya kimya?
 
Mbona wanaweka majina kwenye website yao.
Au huijui website yao?
 
Pole sana mkuu, walishafanya kitambo sana. Waliita kimya kimya kwa simu. Hata mimi kuna college nilkua nimeomba nayo waliita kimya kimya kwa simu. Education kuna mtu wangu aliitwa kufanya interview

mkuu hao waliofanya kitambo unazungumzia kpndi gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…