Taarifa umezipataje mkuu? Kuna dogo aliomba hapaItafanyika dar tar 9
Wapi hapo mlikua wengi?Aisee maswali ni ya kawaida tu mkuu General questions hadi hesabu za kujumlisha na kutoa zinakuwepogi, ntahudhuria pia kwa mara nyingine! Ila nikikumbuka tulivokua wengi vile duh🤔🤔
Watu wengi kama washabiki wa simba...Tpb wameitwa watu wengi sana hio siku MAWASILIANO TOWER patachafukaaaaaaa
yaani acha tuu 😅Aisee maswali ni ya kawaida tu mkuu General questions hadi hesabu za kujumlisha na kutoa zinakuwepogi, ntahudhuria pia kwa mara nyingine! Ila nikikumbuka tulivokua wengi vile duh🤔🤔
Kwenye test ya mwaka janaWapi hapo mlikua wengi?
Ulitaka uitwe peke yako?Tpb wameitwa watu wengi sana hio siku MAWASILIANO TOWER patachafukaaaaaaa
Selection criteria ilikua ni hiyohiyo aptitude test? Na je walichukua kuanzia pass zip hadi zip? Nina dogo hapa hana access na net ila kaitwa so niko namtafutia detailsKwenye test ya mwaka jana
waliita interview kama sijakosea watu 1800
eeh hio test , uki pass ndo unaitwa oral interviewSelection criteria ilikua ni hiyohiyo aptitude test? Na je walichukua kuanzia pass zip hadi zip? Nina dogo hapa hana access na net ila kaitwa so niko namtafutia details
Pole sana mkuu, nakuombea hii upate. Kwenye oral mliitwa wangapi kati ya wangapi mliofanya aptitude?eeh hio test , uki pass ndo unaitwa oral interview
interview hata haikuwa ngumu ila sikuitwa ata