Interview TPB

KIFALU

Member
Mar 13, 2014
99
15
Wapendwa kunaalie itwa interview ya Posta bank upande wa sales executive?deadline ilikua 1st February 2016?
 
Sasa unataka kujua nin hapo!? Nafasi zilivyotoka kushare na wanajamii ukapiga kimya! Na bora upitwe tu.
Acha wivu mzee kama huna jibu kaa kimya.! Sasa ulitaka yeye afanye nn.? Mtafuta kazi unatakiwa uhangaike mwenyewe kufuatilia matangazo., hizo kazi zilitangazwa zilikuwa open tu
 
endelea kufuatilia ndugu...hao jamaa ni wababaishaji cjawahi ona....nlifanya 2014 majibu hayakurudi kama nimefai au nimefaulu....but walioniinterview walinambia wanasubiri file kutoka hq maana nlifaulu na halikurudi daima
 
Buriani tutakutana kitaa tena kama file halikurudi daima
 
Back
Top Bottom