Ilikua interview ya hao TPB hapo hapo law school! Tulikua wengi mnoπWapi hapo mlikua wengi?
Hayakuwa magumu ya kufikiria tuuMaswali yalikuaje ndugu
Utajionea mwenyewe....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unatutisha
Aisee mi niliona ngumu ila hata rafiki zangu waliosema nyepesi hawakuitwa hataπeeh hio test , uki pass ndo unaitwa oral interview
interview hata haikuwa ngumu ila sikuitwa ata
Ni kweliAjira tatizo sana
ilikuwa mchanganyiko , hesabu nakumbuka maswali ya bodmasNi hesabu au
Kazi ipoAisee mi niliona ngumu ila hata rafiki zangu waliosema nyepesi hawakuitwa hataπ
Aisee mi niliona ngumu ila hata rafiki zangu waliosema nyepesi hawakuitwa hataπAisee mi niliona ngumu ila hata rafiki zangu waliosema nyepesi hawakuitwa hataπ
Amen ahsante!twendeni tukapambane wakuuKwenye intaview ya TRA kulikuwa na watu zaidi ya buku2 ila washkaj walitoboa na sasa wapo mamlakani.. Kikubwa ni kumtanguliza MUNGU na kujiandaa. MUNGU ATUSAIDIE
Aisee ila huenda safari hii ni zamu yetu piaππ tusikate tamaaAisee mi niliona ngumu ila hata rafiki zangu waliosema nyepesi hawakuitwa hataπ
Haha , mm karibia kila mtu ambae namjua ambae alifanya test pia hakuitwa π
Hizo TIN na NIDA Wanasakwa wanufaika wa HESLBSasa mpaka TIN number?π
ππππHizo TIN na NIDA Wanasakwa wanufaika wa HESLB