Ngoja tusubiri mana hata mimi niliomba naona kimya kimezidi wakati nafasi zenyewe ni 12 tu, isije ikawa kama ya MWANZA COMMUNITY BANK yule aliejifanya Agent anataka hela!!!!!!!!
Na me niliwatangaza hvy hvy ilipofika $500 naa wkt naclaim wakajibu sorry this service is not available at your region kwa hiyo endelea eeeeh uone km siku hizi kuna vya bure bure!!