asaivi naona wanatoa popote ilimradi ikiwa inaendana na hiyo field basiIle niliyofanya wiki iliyopita Dom, niliishi kwenye duties nikaletewa mengine, nikakandwa.
Juzi pia Duce nikajitahidi kusoma random ndani ya taalum, ila ilikandwa pia.
Kiufupi pepa kuitabiria ni vigumu, ila asiache kufuata miongozo mnayompa
Ni kutokana na kazi utakazoenda Fanya au mliofundishwa au vyovyote na km kuna field zaidi ya moja?asaivi naona wanatoa popote ilimradi ikiwa inaendana na hiyo field basi
Kutokana na kozi walizoorodhesha kwenye tangazo yani kama geology,geochemist ujue swali litatoka popote kati ya hizoNi kutokana na kazi utakazoenda Fanya au mliofundishwa au vyovyote na km kuna field zaidi ya moja?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Okay SawaKutokana na kozi walizoorodhesha kwenye tangazo yani kama geology,geochemist ujue swali litatoka popote kati ya hizo
Kama course ni zaidi ya Moja , jiandae kusoma duties and responsibilitiesKutokana na kozi walizoorodhesha kwenye tangazo yani kama geology,geochemist ujue swali litatoka popote kati ya hizo
duties hizo hata iwe kozi moja ni muhimu sana azisomeKama course ni zaidi ya Moja , jiandae kusoma duties and responsibilities
Wakitoa maswali gani?Sasa Jana watu wa Technician II (Electo Mechanical / Mechanical Technician ) walitupa maswali ambayo hatukuamini kama yatatokea. Mtihani hautabiriki jamani
Walitoaje mkuu nijaribu kibeti tarehe 19 Nina interviewSasa Jana watu wa Technician II (Electo Mechanical / Mechanical Technician ) walitupa maswali ambayo hatukuamini kama yatatokea. Mtihani hautabiriki jamani
Mkuu hebu muulize mamsapu matokeo vipi hayajatoka tu tujue ...maana oral ni keshoSalaaam,
Shemeji yenu amebahatika kuitwa kwenye interview ya Nafasi ya Operation Officer TAA(Mamlaka ya Viwanja vya ndege)
Naombeni msaada kwa possible questions na pia asome nini na nini.
Ni hayo tu kwa sasa....!
Bonde la Baraka na wadau wote
Written ilikuwa jana?Mkuu hebu muulize mamsapu matokeo vipi hayajatoka tu tujue ...maana oral ni kesho
Duce ilikua inahusu n ninoIle niliyofanya wiki iliyopita Dom, niliishi kwenye duties nikaletewa mengine, nikakandwa.
Juzi pia Duce nikajitahidi kusoma random ndani ya taalum, ila ilikandwa pia.
Kiufupi pepa kuitabiria ni vigumu, ila asiache kufuata miongozo mnayompa
Kada ya Afya mkuuDuce ilikua inahusu n nino
Written si imefanyikia Dom?Utumishi wanatoa majina usiku na unatakiwa kuwepo dodoma asubuhi.
JuziWritten ilikuwa jana?
Written ilikuwa jana?
JuziWritten ilikuwa jana?