Interview NMB

Interview NMB

hongera. kwani intaview ilikuaje? waliuliza maswali gani?
 
Kuna jamaa ypo hapo NMB aliniambia kwa sasa wanahtj 6 pia wana intern wao! Bt alinisisitizia kuwa lengo la ni kuweka w2 kwny data base
 
Ndo zao hao jamaa. Nakumbuka mimi pia niliwahi piga interview yao Western zone, Written tuliitwa 97 afu Oral tukapiga 50 bila kujua wanataka wangapi. Mwisho wa siku wakachukua 6 tuu afu kati ya hao wa5 walikuwa Intern hapohapo branch, then mmoja ndo akaongezwa. Jipe moyo mkuu, you never know ni game of chance kaka ila kaya pia kuomba kwingne you will make it
 
Kazi ngumu lakini jitihada zako binafsi ndo muhimu zaidi


Sent from my iPhone5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom