edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
Wakuu nawasalim,nilikua naomba msaada kwa yeyote anaefaham au mwenye mwongozo kuhusu maswali au maswala ya interview mamlaka ya maji mwanza, tafadhali msaada shukrani katika kujenga taifa ,asante 0713099309 au 0783995659 twaweza wasiliana pia hizo no.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app