Interview Mwalim Nyerere university

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
239
160
Jamaa naombeni mtusaidie tangazo la usaili kwa Kada mbali mbali mwalimu Nyerere 5/3 pale duce kuna kipengele cha 9 ingawa kimerudiwa kinataka msailiwa awaambie marefaree wake watume barua kabla ya kuajiliwa wakat huo ni usaili wa kuandika ili tangazo linatuchanganya mwenye kujua tunaomba ufafanuzi.
 
Jamaa naombeni mutusaidie tangazo la usaili kwa Kada mbali mbali mwalimu nyerere 5/3 pale duce kuna kipengele cha 9 ingawa kimerudiwa kinataka msailiwa awaambie marefaree wake watume barua kabla ya kuajiliwa wakat huo ninusaili wa kuandika ili tangazo linatuchanganya mwenye kujua tunaomba. Ufafanuz
ni kweli linachanganya lakini we tuma sasaivi mambo mengine badae.nina ndugu yangu ameitwa interview kwa post ya office assistant naomba unijulishe eti kuna written interview au ni oral peke yake?
 
ni kweli linachanganya lakini we tuma sasaivi mambo mengine badae.nina ndugu yangu ameitwa interview kwa post ya office assistant naomba unijulishe eti kuna written interview au ni oral peke yake?
written jumamosi na oral jumatatu
 
Jamaa naombeni mtusaidie tangazo la usaili kwa Kada mbali mbali mwalimu Nyerere 5/3 pale duce kuna kipengele cha 9 ingawa kimerudiwa kinataka msailiwa awaambie marefaree wake watume barua kabla ya kuajiliwa wakat huo ni usaili wa kuandika ili tangazo linatuchanganya mwenye kujua tunaomba ufafanuzi.

kweli kamanda hta mini linanitatza sasa itakuaje unazituma lini hzo barua za marefa
 
siku ya interview waulize wasimamizi watakupa majibu ya uhakika ingawa kwa uzoefu barua unatuma endapo umefanikiwa kuingia oral interview
 
Back
Top Bottom