Mchapakazi sana
Member
- May 30, 2015
- 31
- 3
habar
wanandugu msaada unahitajika kuhusu maswal yanayoulizwa kwenye interviw kwa upande wa social welfare officer, kuna ndugu yangu ameitwa interview pale moi msaada plz.
Majina yametoka wapi?Habar
wanandugu msaada unahitajika kuhusu maswal yanayoulizwa kwenye interviw kwa upande wa social welfare officer, kuna ndugu yangu ameitwa interview pale MOI msaada plz.
Walitangaza lini hizo kazi au ndio zile za mwezi april
Mwambie akaze buti akipata mshahara wake si haba.
majina hawajaweka popote wamewapigia simu na barua zimetumwa kwa njia ya posta anuani uliyoandika
mbona mie cjapgiwa cm na niliomba accounts
Walifanya usaili jumatano na ilikuwa oral tu majibu siku yoyote mwez huu bt inasemekana kuna watu wao wamesha wapanga cz kuna ambao walikuwa wanajitolea pale nao wamefanya
Mkuu sio lazima waite wote, ndio maana ya kushortilist iyo subir bahat yako tu manung'uniko sio mazuriila hawa wanaoita interview kwa kupiga simu tu na barua kwa mtu husika wanaboa,kwanini wasichapishe majina kwenye website zao au magazeti kila mtu akafahamu,mtu unaomba kazi haujui kama waliita au vipi ,mfano huyo asingeandika hapo tusingejua kama sahivi wameita lakini nashangaa sababu si kawaida yao kutoweka majina hawa
mimi nili apply kazi open university nikasikia watu wameitwa hadi leo sijajua kama kada yangu waliita au bado
kwanini wasiige mfano wa utumishi na tbs
daaa kweli wanaboa
Anamaanisha kwamba hata hao waliokuwa short - listed basi majina yangetoka kwenye mtandao au sehemu waliyotangazia mwanzoMkuu sio lazima waite wote, ndio maana ya kushortilist iyo subir bahat yako tu manung'uniko sio mazuri
Only shortlisted applicants will be contactedAnamaanisha kwamba hata hao waliokuwa short - listed basi majina yangetoka kwenye mtandao au sehemu waliyotangazia mwanzo