Interview nyingi za medium school
Unapewa mtihani wa somo husika uufanye na huo mtihani unaweza kuwa wa darasa la sita la saba au zaidi
Baada ya hapo unafanya oral interview, mwalimu mkuu na mwalimu wa taaluma na wengineo wanahusika
Unapelekwa darasani kufundisha,shule zingine unaeza ukaanza mtiani ukapelekwa kufundisha (practical) then oral interview