Interview M - Power

Deus steven

Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
53
Reaction score
7
Wadau habar zenu,,,,???,,nimetumiwa email ya interview na m.power company,,,,nataka kujua kwa anae jua interview zao zinakuaje ili nipate info b4 iyo siku???,,pia wamesema itafanyika jengo la A3 institution karibu na fire opposite na.vijana building kwa anaejua hii sehemu anijurishe b4 iyo siku coz mm silijui ilo jengo,,,nawsilisha
 
Na mm nahitaji kuijua hii company kiundani
 

Jinsi tu ya uandishi wako ulivyo mbovu inaonesha kuwa huna nidhamu nzuri.M-Power hawachukuwi watu type yako.Rudi kwanza shule ukomae akili ndiyo uje tena.
 
Ulitaka niandikaje mkuu??,,kwani umeshindwa kuelewa au ulitaka niandikie kilugha cha kwenu ndo ujue nimeandika vizur,,,ebu kuwa mtu mzima na mwenye busara humu watu wako serious sio kila mda ni kuvunja watu moyo shame on u
 
Be wise,,ulitaka niandike kwa kilugha cha kwenu acha ujinga
 
Ulitaka niandikaje mkuu??,,kwani umeshindwa kuelewa au ulitaka niandikie kilugha cha kwenu ndo ujue nimeandika vizur,,,ebu kuwa mtu mzima na mwenye busara humu watu wako serious sio kila mda ni kuvunja watu moyo shame on u

Na wewe ni graduate wa chuo kikuu.?
 
Sasa mtu unaomba msaada afu unajifanya nunda na mjuaji?
 
huo uandikaji wako kama motto wa darasa la pili hata hamu ya kukupa info ni kama kupoteza muda sababu umeishakosa kazi kabla hata hijafika imterview
 
Hahaha...wadau wa humu ndani mna visa.

Deus steven Last tym hao M-power walikuwa wanafanyia interview zao ktk offc za unesco karibu na chuo cha magogoni.

Kwny interview ya kwanza ni maswali ya kawaida ya hesabu na english wanakusetia mda kwenye pc thn unafanya. Ni maswali ya kawaida sana.

Ukipita hiyo unaitwa kwny interview ya pili ya oral..inaanza ya group..thn ya individual. Kote wanakupima uwezo wako wakuinteract na watu..namna unavyozungumza, ufahamu wako etc. Ukipita hizo basi unajiandaa kwa training na mengineyo.

Inshort interview zao ni za kawaida. All the best
 
Last edited by a moderator:
A3 institute wapo barabara ya moro road ukitoka magommeni kama unaenda posta wambie wakuache fire then itakuwa rahisi coz iko chuo kipo barabarani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…