habari wadau...
mi ninafanya kazi sehemu fulani,but huwa nina tuma maombi sehemu mbalimbali ktk kubadilisha kazi,juzi nimepigiwa simu na Radar recruitment yule mdada akanifanyia enterview kwenye simu bana,kuanzia elimu yangu,kazi ninazofanya,kwanini niliomba kazi,mategemeo ya mshahara,maslahi ninayopata hapa nilipo,mshahara wangu wa sasa,nk,mwisho akaniambia atanitafuta kwenye enterview.....sijui nini kitaendelea....

well noted sasa mshahara mkubwa ni upi? figure.Gross ya 1m,2m.3m,4m,5m?Mengine yooote ilikuwa mbwembwe tu. Shida yao ni hapo kwenye red!
Ukitaja kiwango kikubwa, hutakaa upigiwe tena maishani!
Hawana lolote, utakuja kuthibitisha hapa jamvini.
ina maana baada ya kwenye simu hakuna tena,na simu mtu unakuwa hujajiandaa,simu inaingia kupokea interview inaanza,kama umetuma sehemu mbalimbali duu,mmm unaanza maswali fasta,anyway inajenga courage pia...THATS GOOD,.NADHANI HUU NI UTARATIBU MZURI.WIKI ILIYOPITA HATA MIMI NILIPIGIWA SIMU NA HR WA MeTL KUHUSU KAZI NILIYOWAHI KUOMBA NADHANI ILIKUWA MWAKA 2012.HII INAPUNGUZA GHARAMA NA MUDA PIA.
well noted sasa mshahara mkubwa ni upi? figure.Gross ya 1m,2m.3m,4m,5m?
Habari wadau.
Mimi ninafanya kazi sehemu fulani, but huwa nina tuma maombi sehemu mbalimbali katika kubadilisha kazi. Juzi nimepigiwa simu na Radar Recruitment, yule mdada akanifanyia enterview kwenye simu bana, kuanzia elimu yangu, kazi ninazofanya, kwanini niliomba kazi, mategemeo ya mshahara, maslahi ninayopata hapa nilipo, mshahara wangu wa sasa, nk, mwisho akaniambia atanitafuta kwenye enterview.
Sijui nini kitaendelea.