interview kwa njia ya simu

kamsongole

Senior Member
Apr 20, 2013
111
15
Kuna kampuni fulani walinipigia simu na kunifanyisha interview kwa njia ya simu. Walipomaliza maongezi wakasema bado tunaendelea kuwainterview watu wengine. mpaka leo naona kimya. Hivi inawezekana ukaishia kufanya interview kwa njia ya simu na usifanikiwe? Naomba kufahamu hili nalo. Maana interview yenyewe ilikuwa ya kushutukiza.
 
Back
Top Bottom