Sasa hayo majembe yanachuana vip mi sijaelewa au ndio ushamba wangu.
kwel jamaa mzurulaji ina mana unachangia usichokijua? ka mada hujui tulia sio lazima kila uzi uchangie.
Uuupsi kuna shamba kwa hiyo hayo majembe yamepewa kazi ya kulima tuone lipi litawah kumaliza
hao ni watu 500 waliopita baada ya mchujo hivyo wanagombea nafasi 184 mkuu
nafasi 1 kwa watu 5, mleta mada amesema ni zaidi ya 500very fair nafasi moja inagombaniwa na 2.
nafasi 1 kwa watu 5, mleta mada amesema ni zaidi ya 500
watu 689 wanagombea nfasi 23
vijana hizi interviews zipo tu... zilikuwepo na zitakuwepo
jiandaeni vizuri, pigeni revision ya nguvu, kuweni nadhifu (kuvaa makata kundo, mtindi-nje nk., swagga za kinyaturu nk.) haviwasaidii sana
hata hii typing - typing haina tija saaaana
huu muda ni adhimu na adimu kwenu